

[intro]
Trone, this is amazing
Dah, you know
Inafaa kuhadithia hadithi nzuri
Hadithi tamu ya mapenzi
[Verse 1]
Nakusalimia, kama una nafasi
Kama una nafasi, itika jamani
Mwenzako dear, napataa na ukakasi
Mi naomba basi, nitoe ya moyoni
Oh
[Pre Chorus]
Maana sili silali, nkihesabu moja sifiki tatu
Halbadiri ya penzi, inanipa vihomahoma
Na sipati afadhari, utaniua mtoto wa watu
Kuficha tena siwezi, kama noma na iwe noma
Naona bora nikwambie
[Chorus]
L.O.V, I love you
L.O.V, I love you
L.O.V, I love you
LO.V, I love you
I love you
[Verse 2]
Za mwizi arubaini nimekamatika, kwake niko hoi taabani
Siri sio siri imebainika, napenda mpaka sijitamani, dah
Moyo unadunda kama spika, wimbo wa penzi uko hewani
Naimba mpaka sauti inakatika, mashairi yanamuhusu nani, wewe
Akili unaizuzua, oooh akili unaizuzua
Mi mwenzako nakutaka, oooooh oohh
Ni wewe ngekuchagua, ooh ni wewe ngekuchagua
Hata mngezaliwa pacha, oh
[Pre Chorus]
Maana sili silali, nkihesabu moja sifiki tatu
Halbadiri ya penzi, inanipa vihomahoma
Na sipati afadhari, utaniua mtoto wa watu
Kuficha tena siwezi, kama noma na iwe noma
Naona bora nikwambie
[Chorus]
L.O.V, I love you
L.O.V, I love you
L.O.V, I love you
LO.V, I love you
I love you
Lähde: Genius
Ei vielä samankaltaisia kappaleita
Ei kuuntelijatietoja
Ei palvelintietoja
Ei viimeaikaisia toistoja