

[Pre Chorus]
Hapa kwa juu kwa moyo pana kwangua
Kwenye ubongo kuna kakitu Kanasumbua
Haki ya mungu lile likenge lingeniua
Si angesema ka anauza ningenunua
[Chorus]
Oya Mister DJ
Nipoze moyo DJ
Ongeza sauti DJ
Nitakutunza DJ
Oya oya Mister DJ
Niponze moyo DJ
Acha ishe DJ
Nitakutunza DJ
[Refrain]
Oh oh oh oh
Hum hum hum hum
Oh oh oh oh
Hum hum hum hum
[Verse]
Nishike sikio kuna mengine nitaropoka
Kumbe chujio huwezi maji kuyachota
Vile vilio, vilio nilichoka
Kama salio angesema ningekoapa aaah
[Pre Chorus]
Hapa kwa juu kwa moyo pana kwangua
Kwenye ubongo kuna kakitu
Kanasumbua
Haki ya mungu lile likenge lingeniua
Si angesema ka anauza ningenunua
[Chorus]
Oya Mister DJ
Nipoze moyo DJ
Ongeza sauti DJ
Nitakutunza DJ
Oya oya Mister DJ
Niponze moyo DJ
Acha ishe DJ
Nitakutunza DJ
[Refrain]
Oh oh oh oh
Hum hum hum hum
Oh oh oh oh
Hum hum hum hum
Lähde: Genius
Ei vielä samankaltaisia kappaleita
Ei kuuntelijatietoja
Ei palvelintietoja
Ei viimeaikaisia toistoja